Kiswahili Kitukuzwe — Afrika Imara
Native Swahili podcast on science and technology — real content, not a language lesson.
- LevelFor advanced
- PriceFree
- Made forNative audio
- Episodes here5 newest
-
<p>Je, umewahi kujiuliza Mwezi ulitoka wapi? 🌕Kwa mabilioni ya miaka, Mwezi umekuwa ukiangaza anga la usiku, lakini historia ya kuzaliwa kwake ni ya kushangaza kuliko wengi wanavyofikiri.Katika video hii utajifunza:✅ Jinsi Mfumo wa Jua ulivyokuwa miaka bilioni 4.5 iliyopita✅ Nadharia ya kisayansi inayoeleza kuzaliwa kwa Mwezi✅ Sayari ya Theia ilikuwa nini?✅ Mgongano mkubwa uliobadilisha historia ya Dunia milele✅ Ushahidi unaowaongoza wanasayansi kuamini nadharia hii✅ Je, Mwezi uliwahi kuwa karibu zaidi na Dunia?Video hii imeandaliwa kwa kutumia ushahidi kutoka tafiti za kisasa za sayansi ya anga, NASA, Lunar and Planetary Institute, na misheni za Apollo.Kama unapenda video za sayansi, anga…
-
<p>Vipi kama ungepata nafasi ya kutembelea kila sayari katika Mfumo wa Jua?Katika documentary hii ya Afrika Imara, tunaanza safari kutoka kwenye Jua, tukitembelea Utaridi, Zuhura, Dunia, Mirihi, Mshtarii, Zohali, Uranusi na Neptuni kabla ya kufika Pluto na Ukanda wa Kuiper.Utajifunza:🪐 Kwa nini Zuhura ni moto kuliko Utaridi?🌍 Kwa nini Dunia ndiyo sayari pekee yenye uhai unaojulikana?🔴 Je, Mirihi inaweza kuwa nyumba ya pili ya binadamu?🌪️ Dhoruba kubwa ya Mshtarii ina ukubwa gani?💍 Pete za Zohali zimeundwaje?❄️ Kwa nini Uranusi umeanguka kwa upande?🌊 Ni nini kinachofanya Neptuni kuwa na upepo mkali zaidi?☄️ Pluto ni sayari au sayari kibete?Hii ni safari ya kisayansi iliyoandaliwa kwa…
-
<p>Zaidi ya Neptuni, mahali ambapo Jua huonekana kama nyota tu ya mbali, kuna eneo kubwa la giza na baridi kali — UKANDA WA KUIPER. Ni "friji" kubwa ya Mfumo wa Jua, iliyojaa mamilioni ya dunia ndogo za barafu zilizohifadhi kumbukumbu ya jinsi mfumo wetu ulivyozaliwa miaka bilioni 4.5 iliyopita. ❄️Katika kipindi hiki cha Afrika Imara tunasafiri hadi ukingoni mwa Mfumo wa Jua kuchunguza mahali palipobadilisha kabisa jinsi tunavyoelewa "sayari" ni nini.</p>
-
<p>Karibu kwenye sayari ya mwisho ya Mfumo wetu wa Jua, NEPTUNI, sayari ya barafu (ice giant) iliyo mbali zaidi na Jua, kwa umbali wa kilomita bilioni 4.5. 🌊Ni sayari ya ajabu: japo iko mbali kabisa na joto la Jua, ndiyo yenye upepo mkali zaidi katika Mfumo mzima wa Jua, hadi 2000 km/h. Na cha kushangaza zaidi? Iligunduliwa kwa hesabu za hisabati kabla mtu yeyote hajaiona kwa darubinI.</p>
-
<p>Sayari ya URANUSI ni sayari ya ajabu zaidi katika Mfumo wetu wa Jua — sayari pekee inayozunguka ikiwa imelala upande wake, kwa mwinamo wa nyuzi 98. Hii inamaanisha nini? Ncha yake moja hukabili Jua kwa miaka 42 mfululizo ya mchana, kisha miaka 42 ya usiku wa giza totoro.<br></p>
What it is
Maranga Amos Atima explains technology, science and modern life entirely in Kiswahili for a Swahili-speaking audience, which is rare and valuable: content-first listening rather than another beginner lesson. Nearly 80 episodes were available in 2026 and it is still publishing. There are no transcripts, no translation help and no concessions to learners, so it only starts working somewhere around B2.
Episodes are played straight from the publisher's feed — nothing is hosted here, and the five newest are whatever the feed served when this page was last built. All Swahili podcasts →